Msichana Initiative tumezindua rasmi Msichana Club katika shule ya msingi Tandale

Hatimaye ‪‎Msichana Initiative‬ tumeanza vyema kwa Wadogo zetu wa Shule ya Msingi Tandale kwa kuzindua Rasmi ‪‎MsichanaClub‬, Safari ya kuwawezesha Wasichana kujitambua na kuwakwamua kutokana na vikwazo vinavyowanyima haki yao ya msingi ya kupata elimu imeaanzia rasmi hapa