Vifungu vya sheria ya ndoa vinavyoruhusu Mtoto wa kike kuolewa chini ya Miaka 18

Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, Rebeca Gyumi akizungumza jambo na Wakili wakujitegemea, Jebra Kambole baada ya kutoka Mahakama Kuu ambako wamefungua hauri la Kikatiba la kupinga sheria ya ndoa kifungu cha 13 na 17 vinavyoruhusu mtoto wa kike chini ya miaka 18 kufunga ndoa.

 

Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, Rebeca Gyumi akizungumza na Waandishi wa Habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania baada ya kutoka Mahakamani hapo ambapo wamefungua shauri la Kikatiba la kupinga sheria ya ndoa kifungu